Ufugaji bora

Habari ndugu zangu wasomaji
Blogu hii mpya ni kwaajili ya kutoa ushauri juu ya ufugaji na namna ya kufanya ufugaji wako uwe bora.
Je, una kuku,ngo'mbe,mbuzi,kondoo,na wanyama wengine au unataka kuanza kufuga?? Fatilia tovuti hii kupata elimu juu ya ufugaji mzuri.
Karibuni sana

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya kutengeneza mabanda bora kwaajili ya kufugia kuku